Share

MCHUNGAJI MWAMPOSA “BAADA YA TUKIO LA KUKANYAGA MAFUTA SIKUTAKA KUZUNGUKA TENA”

Share This:

Leo Marehemu Ruge Mutahaba ametimiza mwaka mmoja tangu amefariki na imefanyika Ibada ya kumuombea nyumbani kwao Bukoba alipozikwa na imeongozwa na Mch Boniphace Mwaposa ambapo ameeleza mengi yanayomhusu Marehemu Ruge sambamba na kueleza sababu zake kufika baada ya matatizo yaliyotokea hivi karibuni

Leave a Comment