Share

Meli iliyobeba watalii yawasili nchini watalii wenye ulemavu wameshindwa kushuka.

Share This:

Meli kubwa iitwayo Silver Sea iliyobeba watalii kutoka mataifa mbalimbali imewasili katika bandari ya Dar es salaam ikitokea Seychelles ambapo hata hivyo baadhi ya watalii wenye ulemavu wameshindwa kushuka kutokana na miundombinu kutokuwa rafiki.

Leave a Comment