Share

Meneja wa ALLY CHOKI “Hajalazwa Muhimbili, tayari ametunga wimbo wa Ugonjwa wake”

Share This:

Zilitoka taarifa za mwanamuzi wa Dance Alichoki kuugua na kulazwa Hospitali ya Bugando Mwanza wiki moja imepita na management yake haikuwa tayari kuzungumza, kwenye EXCLUSIVE Meneja amezungumza.

Leave a Comment