Share

Mengine aliyofunguka Nape baada ya kutoka kwenye Uwaziri

Share This:

Kupitia habari ya Azam Two ya April 20 2017 aliyekuwa waziri wa Habari ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amekiri kuwa kuondolewa kwake kwenye nafasi ya uwaziri kuna maswala mengine na hakuna atakaye thubutu kuyaongelea yote yaliyasababisha kutokea kwa jambo hilo.

Leave a Comment