Share

MENO NJE !!! JAMAA ANA KIWALAZA LAKINI KASUKA RASTA, UTAMPA JINA GANI ?

Share This:

Ikiwa kama kawaida yake baada ya kumalizika kwa Sikukuu ya Pasaka, Zuch Zuchero hajachoka ameingia mtaani leo akiwa kaja na swali lake tata ambapo anakuuliza hivi; Ikiwa umekutana na mtu mwenye Kiwalaza lakini amesuka Rasta, utampa jina gani la utani…?

Leave a Comment