Share

Merkel amjibu Trump

Share This:

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amemjibu rais wa Marekani Donald Trump akisema kuwa Ujerumani inafanya maamuizi kivyake na kwa uhuru. Merkel amepinga madai ya Trump kuwa ujerumani ni mateka wa Urusi

Leave a Comment