Share

Mesut Ozil: Mvulana aliyepewa jezi na nyota wa Arsenal baada ya picha yake kusambaa mitandaoni

Share This:

Picha ya kijana mdogo akichunga ng’ombe akiwa amevaa jezi aliyoiandika jina la Mesut Ozil na chapa ya number ya mchezaji huyo imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii akiwemo nyota mwenyewe wa soka ambaye amemtumia zawadi..
Video: Njoroge Muigai #kenyaarsenalboy#mesutozil #arsenal #arsenalboy

Leave a Comment