Share

MEZA HURU:Masoko holela”(kuwepo kwa Masoko yasiyo rasmi pembezoni mwa Barabara na Makazi ya watu).

Share This:

Leo saa 9:00 ALASIRI Fuatilia kipindi cha MEZA HURU kinachoangazia masuala motomoto yanayogusa jamii. Mada ya leo ni “ Masoko holela”(kuwepo kwa Masoko yasiyo rasmi pembezoni mwa Barabara na Makazi ya watu). Unakaribishwa kupiga simu namba 0767 444701 na uweze kutoa maoni yako na pia shiriki kwa kutoa dukuduku lako ukitumia mitandao ya kijamii.

Leave a Comment