Share

Mfahamu chipukizi anayefananishwa na Aslay

Share This:

Tiki Flavour adai alivutiwa na sauti ya Dully sykes katika uimbaji huku akimtaja aslay kuwa amemfanya akaze zaidi na kutamani kufika levo zake

Leave a Comment