Share

Mfahamu Shehk Kipozeo, aizungumzia ndoa ya Dogo Janja na Uwoya

Share This:

Bongo5 Jumatatu hii imekutana na Shehk Hilal Shaweji aka Shehk Kipozeo amefunguka kuzungumzia historia ya maisha yake ambapo pia alipata kuzungumzia ndoa ya rapa Dogo Janja pamoja na msanii wa filamu, Irene Uwoya.

Leave a Comment