Share

Mfalme Charles Mumbere wa Uganda akamatwa

Share This:

Polisi Uganda yamkamata mfalme Charles Wesley Mumbere, huku idadi ya vifo kufuatia makabiliano na polisi ikifikia watu 60. Francois Fillon kuwania urais Ufaransa baada ya kushinda kura ya uteuzi dhidi ya Alain Juppe. Vikosi vya Syria vyadhibiti wilaya muhimu kuelekea Aleppo. Papo kwa Papo 28.11.2016

Leave a Comment