Share

Mgombea urais CCM awashauri wakazi wa Pwani kutouza maeneo yao kwa wawekezaji.

Share This:

Wakazi wa mkoa wa Pwani na watanzania wanaoishi katika maeneo kulikovumbuliwa maliasili na maeneo maalum kiuchumi kwa ujumla wameshauriwa kutouza mashamba na maeneo yao kwa wawekezaji na badala yake waingie ubia na wawekezaji kwa kuwa wabia wa uwekezaji ili waweze kunufaika kikamilifu na rasilimali hizo badala ya kuuza moja kwa moja jambo linalowafanya kutonufaika kikamilifu.

Leave a Comment