Share

Mgombea urais wa Chadema kupitia UKAWA aahidi kuijenga bandari ya Tanga.

Share This:

Mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowassa ameusimaisha mji wa Tanga kwa kufanya mkutano mkubwa mjini humo huku akiahidi kujenga bandari ya Tanga.

Leave a Comment