Share

Mgombea urais wa Chadema kupitia UKAWA aahidi kutatua kero ya maji kote nchini.

Share This:

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyoundwa na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edwrad Lowassa ameahidi kutatua kero sugu ya maji safi na salama nchini ndani ya siku mia moja tu baada ya kuchaguliwa kwakwe kuwa rais wa Tanzania.

Leave a Comment