Share

Mh William Ngeleja ameliomba baraza la maadili ya utumishi wa umma rungu la adhabu lisianzie kwake.

Share This:

Mbunge wa jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa nishati na madini Mh William Ngeleja ameliomba baraza la maadili ya utumishi wa umma rungu la adhabu lisianzie kwake kwani alichokitenda kimethibitika kutendwa na wabunge wengine.

Leave a Comment