Share

Mhandisi aliyenusurika kifo kwa kuishi majini siku tatu

Share This:

Mhandisi Augustine Charahani ndiye mtu pekee aliyeokolewa wa waokoaji, alikaa ndani ya maji katika kivuko cha, MV Ukara kilichozama mwezi Septemba mwaka 2018 kwa muda wa siku tatu bila kunywa wala kula

Leave a Comment