Share

Miaka 20 tangu kuangushwa kwa Mobutu

Share This:

Rais Donald Trump wa Marekani ametetea uamuzi wake wa kutoa taarifa kwa maafisa wa Urusi, Majeshi ya Iraq yamekamata asilimia 90 ya eneo la magharibi ya mji wa Mosul na wanajeshi waasi nchini Ivory Coast wamerejea katika vituo vyao vya kazi baada kukubaliana na serikali

Leave a Comment