Share

Miaka 37 ya mapambano dhidi ya Ukimwi

Share This:

Ni miaka 37,tangu Marekani walipokuja na jina la ugonjwa ambao hauna tiba mpaka sasa, Ukimwi.

Mpaka sasa watu milioni 75 wameathirika na ugonjwa huo na watu milioni 32 wamekufa.

Leave a Comment