Share

Miaka 50 ya kutua mwezini

Share This:

Imetimia miaka 50 tangu binadamu wa kwanza atembee mwezini.
Mnamo mwaka 1969 chombo cha anga cha Marekani Apollo 11 kilitua kwenye mwezi na Neil Armstrong alitoka kwenye chombo na kutembea kwenye mwezi.
Je unaamini binadamu ataweza tena kutua mwezini? Na kwanini hajafanya hivyo tena tangu wakati huo?

Leave a Comment