Share

“Mimi nilidhani Iringa ni kama Ulaya, Msigwa rudi ushughulike na matatizo yako” -Musukuma

Share This:

Leo January 14, 2018 Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma baada ya kumaliza kampeni za kumnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini, alipita mkoani Iringa ambapo aliungana na Mbunge Viti Maalumu Iringa Ritha Kabati na kukabidhi msaada kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.

Leave a Comment