Share

Mirija inayotokana na nyasi Uganda

Share This:

Ni kwanini watu wanatumia mirija ya plastiki wakati kuna mirija ya asili inayotokana na nyasi na inayoweza kutumika zaidi ya mara moja tena kwa muda mrefu? Kutana na kijana mjasiriamali kutoka Uganda anayetengeneza mirija hiyo kutokana na nyasi.

Leave a Comment