Share

Miss Tanzania Diana anataraji nini kwa mwaka 2018?

Share This:

Miss Tanzania kwa mwaka 2016/17 Diana Edward anaweka wazi matarajio yake ya mwaka huu wa 2018, na kile ambacho hatakisahau kwa mwaka uliopita. Tizama Video hii.

Leave a Comment