Share

Mjadala waibuka Bungeni kuhusu bondia Mtanzania aliyempiga TKO Muingereza

Share This:

Ikiwa imepita siku moja tangu Bondia wa kitanzania Hassan Mwakinyo kuingia kwenye headline baada ya kumtembezea kichapo bondia wa Uingereza Sam Eggington kwa ushindi wa Knock Out kwenye round ya 2 katika pambano la round 10.
Leo September 10, 2018 mjadala umeingia Bungeni Dodoma ambapo baadhi ya Wabunge walisimama na kuhoji Serikali kuhusu kuendeleza vipaji vya watanzania wanaoipeperusha bendera ya nchi.

Leave a Comment