Share

Mkali wa Burundi afunguka kuhusu Bongo Flava

Share This:

Msanii wa Burundi, Gaga Blue ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Ivo Ivo’ aliomshirikisha rapper Young Dee, amefunguka kuhusu muziki wa Bongo Flava nchini humo pamoja na wasanii wanaokubalika zaidi.

Leave a Comment