Share

Mkanganyiko: Msemaji wa familia ya Martha atoa ratiba mazishi “Mtoto wa Mbosso yupo”

Share This:

Msemaji wa familia amefunguka kuzungumzia ratiba ya mazishi ya Martha pamoja na kuweka sawa mkanganyiko kuhusu mtoto ambao umejitokeza mapema leo baada ya wanafamilia kudai kwamba marehemu hakuwa na mtoto muda mchache baada ya msanii wa WCB , Mbosso kutangaza kwamba alizaa na marehemu mtoto mmoja.

Leave a Comment