Share

Mkasi | S11E11 With Meck Maxime

Share This:

Nahodha kinara wa Mtibwa na Taifa Stars alieibukia kuwa Kocha mahiri wa kizazi kipya cha Mtibwa FC, si mwingine ni Meck Mexime! Katika mapito yake amethibitisha kwamba kweli yeye ni kiongozi uwanjani na nje.

Katika historia yake amepata kucheza na wachezaji wengi nyota nchini na pia kufundishwa na makocha tofauti katika ngazi za Klabu na timu ya Taifa, na hilo lilimpa nafasi Meck kutafakari ni nini kinafuata baada ya muda wa kutundika daluga kufika. Na ndipo alipochukua mafunzo ya ukocha.

Nani aliemhimiza na kumpa moyo? Nini amejifunza kutoka katika soka la Tanzania? Nini mafanikio yake na matarajio yake ya mbeleni….binafsi, kiklabu na hata kitaifa?

Msikilize #MeckMexime leo akiwa na nguzo tatu za #MkasiTV akitueleza mengi ambayo hatukuyajua, na tungependa yasikike!

Ahsante #AirtelTanzania, #TuskerTanzania na #CocaCola kwa kuwa sambamba nasi!

Follow MkasiTV on
Facebook : http://facebook.com/MkasiTV
Twitter : @MkasiTV

Leave a Comment