Share

Mke wa Mzee Yusuf asimulia alivyopambana na Majambazi 4 wenye bunduki na mapanga

Share This:

Mapema wiki hii Mzee Yusuf na mke wake Leyla Rashid walivamiwa na majambazi nyumbani kwao Chanika nje ya kidogo mwa jiji la Dar es salaam. Bi Leyla ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kwenye muziki wa Taarab wamefunguka mwanzo mwisho alivyopambana na majambazi hao.

Leave a Comment