Share

Mkubwa Fella ampa mbinu za kutwaa taji la kombe la Dunia kocha wa Brazil Tite

Share This:

Meneja wa Diamond Platinumz Said Fella ameeleza kiunaga ubaga juu ya mapenzi yake katika soka na kutaja kuwa yeye ni shabiki mkubwa sana wa klabu ya Simba ya Tanzania na Arsenal ya Uingereza huku akieleza kile kinachomuumiza zaidi Arsenal pamoja na kumpa ushauri kocha wa timu ya taifa ya Brazil Tite kuhusu kumtumia mshambuliaji wake Neymar ili kutwaa taji la kombe la Dunia huko Urussi

Leave a Comment