Share

Mkubwa Fella awezesha wagonjwa 370 Kilungule kutibiwa bure ‘Dengue hakuna’

Share This:

Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella ameweza kutoa ripoti ya namna wananchi wa eneo lake walivyojitokeza kwa wingi kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya zao pamoja na matibabu bure. Amesema watu waliojitokeza ni 500 lakini waliofanikiwa kupata matibabu ni wagonjwa 370.

Leave a Comment