Share

MKURUGENZI ATCL: ‘KILA BIASHARA INAKUA, TUNALIPA BIMA KUBWA SANA”

Share This:

Mkurugenzi wa ATCL LADISLAUS MATINDI amezungumza na Ayo TV na kufunguka juu malalamiko yanatolewa na wateja wa shirika hilo kuhusiana na Call Center (Huduma kwa wateja) kutokuwepo kwa saa 24.

Leave a Comment