Share

“Mkurugenzi ukirudi hakikisha unarudi na kichwa cha mtu” Mwijage

Share This:

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage na Waziri wa Kilimo Charles Tizeba wapo mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi, ambapo wametembelea maeneo ya mpaka wa Tanzania na Uganda (Mtukula) na kukuta Taasisi za serikali zikitajwa kuonea wananchi wakati wa kutoa huduma.

Leave a Comment