Share

Mkutano wa G20 wagubikwa na maandamano

Share This:

Viongozi wa kundi la nchi za G20 wameanza mkutano wao mjini Hamburg wakati polisi wakiwadhibiti malefu ya waandamanaji, Rais wa Zambia atangaza hali ya hatari kuukabili upinzani, na Italia yasema imelemewa na mzigo wa wahamiaji

Leave a Comment