Share

Mkutano wa kihistoria baina ya Trump na Kim wamalizika

Share This:

Hatimaye mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wamalizika nchini Singapore. Viongozi hao wametia saini nyaraka ya pamoja ya makubaliano kuhusu mambo kadhaa. Papo kwa Papo 12.06.2018.

Leave a Comment