Share

Mkutano wa Kim na Trump huenda usifanyike

Share This:

Mkutano kati ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un na Rais wa Marekani Donald Trump huenda usifanyike kama Marekani itaendelea kuishinikiza iachane na mpango wake wa nyuklia. Papo kwa Papo 16.05.2018

Leave a Comment