Share

Mkuu Wa Mkoa Ahamasisha Ujenzi Wa Zahanati Kilwa

Share This:

Mkuu wa mkoa wa Lindi Geodfrey Zambi ametoa wito kwa halmashauri ya wilaya ya Kilwa kuwakusanya watendaji wa taasisi na wanakijiji wa kajiji cha Sombanga ili kujitolea katika ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Somanga.

Leave a Comment