Share

Mkuu wa Wilaya alivyowaongoza wananchi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto 422

Share This:

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda pamoja na Diwani wa kata Kirando Seba Kakuli (CHADEMA) wamewaongoza wananchi wa Wilaya ya Nkasi kujenga vyumba vya madarasa na kupanda miti na kusafisha mazingira shule ya sekondari Kirando ambapo wanafunzi wa kidato cha kwanza 422 watajiunga mwaka huu.

Leave a Comment