Share

Mlipuko watokea hospitali ya Manyoni, wagonjwa wapatwa na taharuki

Share This:

Wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Manyoni wamepatwa na taharuki,huku wengine wakikimbilia nje baada ya mlipuko kutokea chumba cha mitambo ya umeme na kuanza kuwaka moto.

Leave a Comment