Share

“Mnaogopa nini kumfuata Rais?” – Waziri Mwijage

Share This:

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amelieleza Bunge kuhusu baadhi ya wawekezaji wanaotaka kuwekeza Tanzania na kukutana na vikwazo, wanatakiwa kumuona Rais Magufuli moja kwa moja ili aweze kuwasaidia kwa sababu ameshaahidi kulisimaamia hilo hivyo hawatakiwi kuogopa.

Leave a Comment