Share

Moses: Mchezaji aliyewavusha Nigeria hadi Urusi

Share This:

Victor Moses amecheza michezo mitatu ya kimataifa pekee mwaka huu lakini katika mechi yake ya kwanza alifunga bao na kuchangia ushindi mkubwa wa timu yake wa 4-0 dhidi ya Cameroon.

Leave a Comment