Share

Moto mkubwa jijini London wasababisha vifo vya watu

Share This:

Mkasa mkubwa wa moto umeteketeza jengo la orofa 27 la makazi ya watu na kuua watu kadhaa. Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions atoa ushahidi kwa kamati ya seneti inayochunguza muingilio wa Urusi kwenye uchaguzi wa Marekani lakini akataa kuelezea mawasiliano kati yake na Rais Trump.
Mshukiwa wa uhalifu wa kivita na kibinadamu nchini DRC Bosco Ntaganda kutoa ushahidi katika makahama ya kimataifa ICC.
Njaa yahangaisha watu Kaskazini Magharibi mwa Sudan Kusini kutokana na ukame huku viwango vya juu vya utapiamlo vikiripotiwa. Mchezaji wa kandanda Cristiano Ronaldo ashtakiwa kwa madai ya kukwepa kulipa kodi. Papo kwa Papo 14.06.2017

Leave a Comment