Share

Mpambe wa Rais Magufuli aombwa apangiwe kazi nyingine

Share This:

Mkuu wa Majeshi Tanzania, Venance Mobeyo, amemuomba Rais Magufuli aridhie mpambe wake, Kanali MN Nkelemi kupangiwa kazi nyingine baada ya kupandishwa cheo kutoka Kanali, kuwa Brigedia Jenerali.

Leave a Comment