Share

Mpango wa kuwanusuru kasa Kenya

Share This:

Viumbe kasa hatarini kutoweka: Pamoja na kuwa mlo katika mji wa pwani wa Watamu nchini Kenya lakini taka zitokanazo na plastiki katika Bahari ya Hindi hasa mataifa ya Indonesia, Madagascar na Yemen zimekuwa tatizo kubwa zaidi. Zaidi kuhusu viumbe hao, tazama jitihada za kuwanusuru.

Leave a Comment