Share

Mpina ameagiza Watendaji katika Wizara yake kusimamishwa kazi

Share This:

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ametoa tathmini ya Operation aliyoifanya Kanda ya Ziwa ya Uvuvi Haramu miezi kadhaa na ameagiza kuwasimamisha Kazi Watendaji wanaotoka kwenye hiyo Wizara.

Leave a Comment