Share

Mrema adai Bilioni 20 kwa aliyemzushia kifo

Share This:

January 9, 2018 zilienea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE Austine Mrema amefariki, ambapo baadaye Mrema mwenyewe aliibuka na kulaaani taarifa hizo.

Kutokana na hatua hiyo leo January 12 2018 Mrema ameenda katika kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa ajili ya kushtaki aliyemzushia taarifa hizo ili akamatwe.

Leave a Comment