Share

Mrembo wa Miss Grand TZ anaeiwakilisha TZ Vietnam

Share This:

Kwa Mara ya Kwanza Taasisi nyingine imeyazindua mashindano yao ya Kumtafuta Miss Grand na Tayari ameshapatikana na anakwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss Grand International October Vietnam, Ni Jumla ya Nchi 8 Duniani

Leave a Comment