Share

MRISHO MPOTO NA TIMU YAKE WAGUSWA, ANNA KUFIWA “BATULI AMEDAKA CHOZI LA ANNA, MUNGU HAKOSEI”

Share This:

Licha ya kwamba tayari Wazazi na Ndugu watatu wa Anna wameshazikwa siku kadhaa zilizopita lakini ni kama vile Msiba umeanza upya Goba DSM baada ya Binti wa miaka 16 Anna Zambi kurejea nyumbani akitokea shuleni na kuambiwa ukweli wote juu ya vifo hivyo ambao alifichwa ili kumpa nafasi ya kumaliza kwanza mitihani yake…Mrisho Mpoto na Timu ya Wasanii wenzie ni miongoni mwa waliotenga muda wao na kufika hadi Goba kumfariji Anna na kumtia moyo.

Leave a Comment