Share

Msajili Wa Vyama Vya Soka Atolea Ufafanuzi Katiba Ya Simba

Share This:

Msajili wa vyama vya michezo Ibrahim Sapi Mkwawa amesema hakuna katiba mpya ya klabu ya Simba iliyopekwa kwake kama wanavyodai wazee wa klabu hiyo.

Leave a Comment