Share

Msanii Donny flavour aeleza alivyomnasa Gigy Money na kumtumia kwenye video yake

Share This:

Msanii mchanga wa muziki wa kizazi kimya Donny flavour aeleza jinsi alivyompata Gigy Money na kuwa video queen kwenye video yake ya wimbo ‘Twende Nyumbani’.

Leave a Comment