Share

Msanii Fid Q azungumzia matarajio yake ya 2018

Share This:

Wengi wanamfahamu kama Fid Q. Jina lake halisi ni Farid Kubanda, msanii wa muziki wa kizazi kipya ama “Bongofleva” nchini Tanzania. Anasema, mwaka 2017 haukuwa rahisi kwake lakini akiahidi makubwa kwa mwaka huu wa 2018. Tizama video hii.

Leave a Comment