Share

Msanii Oda Paccy (RWANDA): Diamond hata Alikiba naye /Kiki inakuza muziki

Share This:

Msanii wa muziki kutoka Rwanda, Oda Paccy amefunguka kuhusu muziki wa Tanzania kupendwa nchini Rwanda ambapo amesema Alikiba, Vanessa Mdee, Chin Bees na Diamond nyimbo zao zinapigwa sana.

Leave a Comment